GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Na wmeikataa Simba na ntibhazonkiza [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wameanza kumgomea Mwarabu, wanautilia Shaka Muunganiko Wetu na akina Feitoto, Wameshaanza Kumchoka aliyekuwa akiupiga mwingi na hawako mbali Kukichukia Chama Cha Mambuzi na Kukikaribisha kingine kipya.
Hongereni.
Na mkataba ukitoka sasa ukawa umeandikwa miaka 25 Kama nchi nyengine utashangaa mtaa wapili wanasema “wamebadilisha baada ya kuwapa pressure “ na watanzania wataamini kua wao pamoja na wapinzani ndo wamesababisha mkataba ukabadilishwa kutoka miaka 100 mpka miaka 25. Siasa bhna 🤣🤣🤣🤣Suala ni hili .
Bandari imeshindwa kujiongoza kwa faida ni bora waibinafsishe kwa muda ili watoto wa masikini nao wapate ajira na faida ipande upande wa kodi kwa serikali.
Wa-Tanzania hii ni barua ya maombi ya uwekezaji na siyo mkataba ndiyo maana hauna maelezo ya muda (period) au ukomo wa uwekezaji.
Tutulie tupate mkataba tuusome