Sasa tatizo litakuwa kwa Omog

mna mlaumu Omog je hao wachezaji wote walio sajiliwa aliwapendekeza yeye? au ndio punda afe mzigo ufike
 
mna mlaumu Omog je hao wachezaji wote walio sajiliwa aliwapendekeza yeye? au ndio punda afe mzigo ufike
Ni mchezaji gani yupo pale Simba kwamba kocha yeyote katika nchi yetu hasa club hizi kubwa asingemhitaji....Nikiwa Na maana yupo pale kimakosa Na Hana kiwango kizuri.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo mnamlau kocha wakati usajili wamesajili viongozi bila kujali mahitahi ya timu, mfano niyonzima wa nini wakati una mo ibrahimu na mzamiru?
Kocha atafukuzwa c kwa makosa yake ila kwa makosa ya viongozi na pressure ya mashabiki wasiojuwa mpira maana soon ataanza kupangiwa kikosi(11)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kila mmoja Na aina yake ya uchezaji pia Mdhamiru akiwa majeruhi Nani atacheza.Hata hivyo huwezi kuniambia kwa kuwa kocha Wa manchester United hakumpendekeza C.Ronaldo,Messi Na Neymer na viongozi wakiwasajili basis makocha watagoma.No kocha gani hataki aina hiyo ya wachezaji.In kocha gani hataki backup nzuri Na yenye uhakika.Omog akishindwa yeye asilete visingizio eti hakupendekeza yeye.Niambie katika wachezaji hao no Nani hakustahili Na nafasi take ingechukuliwa Na mchezaji gani ambaye viwango vitamzidi mbali Sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sioni Omog anachokifanya kwa wachezaji hawa bora kabisa.Sijui wanamvumilia mini Simba huyu MTU,anatuchelewesha kisha baadae tuanze kuombea Fulani afungwe Na Simba ishinde katika michezo ya mwishoni mwishoni

Sent from my HUAWEI Y625-U32 using JamiiForums mobile app
 
Ni mchezaji gani yupo pale Simba kwamba kocha yeyote katika nchi yetu hasa club hizi kubwa asingemhitaji....Nikiwa Na maana yupo pale kimakosa Na Hana kiwango kizuri.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kla coach ana falsafa yake mchezaji anaweza kua ana kiwango kizuri lkn haendani na mfumo wa coach mbona ipo wazi hii?
 
Nani dunia hii hamjui C. Ronaldo, Neymar na Messi? Timu gani dunia hii itawakataa hao? Timu gani dunia hii itakubali kuwaaachia hao kirahisi inapokuwa nao? Kama Omog hakuwa anawajua binafsi, una uhakika gani kwamba alikuwa anawajua ilhali wao si Ronaldo, Messi na Neymar wa Afrika? Mbona baaadhi yao hawakuwa wakiwaniwa na timu nyengine? Mbona baadhi waliachiwa kirahisi na timu zao? Tujifunze kutofautisha ujauzito na utapiamlo hata kama vyote vinasababisha tumbo kuvimba.
 
Omog atapozwa na boko acha tusubiri muda uamue. Boko anaruka tu uwanjani yani omog asipobadilika itakula kwake
 
Mbona baaadhi yao hawakuwa wakiwaniwa na timu nyengine? Tujifunze kutofautisha ujauzito na utapiamlo hata kama vyote vinasababisha tumbo kuvimba.
Niambie in mchezaji gani pale aliyesajiliwa Na Simba,club nyingine kubwa hatahitajika?

Hugo Omog no matatizo tu.Tuseme hakuna mshambuliaji aliyempendekeza kusajiliwa kisha akasajiliwa?Tuseme toka Omog aje Simba hakujawahi kuwa Na washambuliaji wazuri?Kwanini mfumo wake Wa uchezeshaji in mmoja tu,mfumo huo ukishindwa ndo basi Simba haishindi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu kla coach ana falsafa yake mchezaji anaweza kua ana kiwango kizuri lkn haendani na mfumo wa coach mbona ipo wazi hii?
Basi falsafa yake imeshindwa pale Simba.Aondoke,Jana Simba ilimzidi Sana Azam ila sijui amewaambia wacheze kwa mtindo gani pale mbele.Hata simuelewi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Omog atapozwa na boko acha tusubiri muda uamue. Boko anaruka tu uwanjani yani omog asipobadilika itakula kwake
Boko hana anachokifanya uwanjani. Boko hajawahi kuifungia goli Simba sc hata zile mechi za majaribio. Boko anarukaruka tu uwanjani kocha anamwacha dakika zote 90 bila kumsabu.
MO Ibrahimu katika mechi za ligi na majaribio amefunga magoli mazuri kabisa na ana target nzuri golini, kocha anamwingiza dakika ya 80.
Amog anakuwa kama anaganzi kwa baadhi ya wachezaji hata wasipocheza vizuri hafanyi haraka kuwabadilisha.
Boko anaonyesha wazi kabisa amechoka na hawezi kuhimilii mikikimikiki ya mpira wa miguu hana msaada wowote.
Kwa timu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo hanspope manara na kaburu kama hujui wanaingilia mpaka mikakati na mipango ya kocha... wanaingilia benchi la ufindi kama wao ndo makocha.. tafuta report ya kocha uone kama alisema bocco, niyonzima, nyoni na okwi kocha aliomba wasajiliwe
 
Nafikiri unafahamu hiyo ripoti Ina majina gani.Tuambie wachezaji waliopendekezwa kusajiliwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…