Sasa tuamue kutokuchuma janga ili tusilie wenyewe

Joined
Oct 22, 2020
Posts
7
Reaction score
9
Kumekuwa na kilio majonzi na kelele kutoka kwa wananchi bara na visiwani juu ya jinsi gani ya kupata viongozi wazalendo wenye kusimamia rasilimali za watanzania ili ziweze kuwanufaisha wananchi. Tanzania ni nchi iliyobarikiwa kuwa na rasilimali nyingi ambazo zingeweza kuondoa maadui wanaoisumbua tangu zama za ukoloni.

Nini tatizo.
Pamoja na ukwasi wa rasilimali bado nchi yetu imeendelea kuwa maskini wa kutupa sababu ya kukosa viongozi wazalendo wenye nia ya pamoja ya kusimamia rasilimali ili ziweze kuwanufaisha watanzania.

Nini kifanyike.
Wazazi wananafasi kubwa ya kuandaa watoto ili waje kuwa wazalendo katika nchi yao.
Nini kila mzazi Afanye.

Mzazi ahakikishe mtoto wake anapata elimu bora ambayo itamsaidia katika maisha yake. Katika mchakato wa kumtafutia elimu mzazi

Awe karibu kujua marafiki wa mwanae.
Ahakikishe mwanae anacheza kula na kushirikiana na watoto wenzake.

Ahakikishe anatembelea watoto yatima akiwa ameambatana na mwanae haya yatamjenga kuwa mwenye huruma.
 
UZALENDO ITAKUWA BONGO?
 
Back
Top Bottom