Kutokana na mapinduzi haya ya Kihistoria ya Kisiasa kutokea katika nchi yetu nadhani sasa tunahitaji SPIKA MPYA wa bunge ili mambo ya KIUNDUGU NA KUJUANA KWA SANA iwe mwisho, Wabunge wawe huru kutoa maoni/malalamiko yao bila kutishiwa, mnaonaje wadau?.
Tunataka spika mpya wa Bunge na kigezo lazima awe na umri wa miaka usiozidi 50, manake wasilipoweka age limit si ajabu mkasikia spika wa Bunge ameteuliwa kuwa KINGUNGE NGOMBARE MWITU.