Sasa tutarajie Chama kuitwa Chezaji la Dunia?

Sasa tutarajie Chama kuitwa Chezaji la Dunia?

Manyanza

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2010
Posts
16,464
Reaction score
35,629
KELELE ZA MAJIRANI KUHUSU CHAMA KABLA YA USAJILI.

Chama hana kasi
Chama anapoozesha mipira
Chama anaharibu "move" za wenzie
Chama hapati namba Yanga SC
Chama siyo mchezaji wa mechi kubwa
Chama mbinafsi na mchoyo
Chama kazeeka
Chama mnamlea vibaya sana
Chama amevimba kichwa
Chama mkubwa kuliko timu yenu
Chama hana mchango ktk timu
Chama siyo wa kumfananisha na Aziz
Chama kaisha
Chama anaigharimu timu
Chama anatabia ya kugeuka nyuma badala ya kupeleka mpira mbele

N.B
Naamini Chama kasaini Yanga SC kuwafunga midomo na kuwa dhalilisha wakosoaji wake ambao ni mashabiki wa Yanga SC.
 
Manara aliwatukana kwamba hawana akili kwamba wenye akili ni wawili tu lakini baadae wakamsajili na sasa wanamshangilia.

Hata hili la chama sasa hivi wanasema Chama ni bora kuliko aziz ki na pacome .
Hizo ndizo akili za Wana utopolo kama alivyosema Manara .Tuwavumilie tu ndivyo walivyo
 
Kunywa maji mengi mkuu
 
Mimi ni Yanga ila nimeumia dah hii sajir sijafurahia
 
Back
Top Bottom