Yona F. Maro
R I P
- Nov 2, 2006
- 4,201
- 236
Kwa wale watumiaji wa huduma za google haswa hii huduma ya anuani ya barua pepe yaani gmail watakuwa wameona kitu kipya ambacho kimeanza toka mwezi wa 7 mwaka huu ambapo unatakiwa kudhibitisha anuani ya barua pepe yako kwa kuandika namba zako za simu za kiganja angalia
ANGALIA ATTACHMENT
ANGALIA ATTACHMENT