Sasa unaweza Kuagiza bidhaa katika mtandao wa bicmark trading kwa usalama na uhakika,
Katika mtandao huu unaweza Tazama bidhaa mbalimbali kama Memory Card,Flash Disk,Solor Charger, Housing za simu,chargers,Modulator na accessories zingine kibao na kila aina kwa bei ya jumla
pia unaweza kutembelea dukani Moshi Mjini Mtaa wa kawawa unapandia NMB mandela branch ukifika MDC unakata kushoto tuna tazamana na harsho trading.