Mmiliki wa Mtandao wa Twitter, Elon Musk kupitia ukurasa wake wa Twitter ametoa taarifa kwa watumiaji wa mtandao huo kuwa, watumiaji waliothibitishwa na alama ya Twitter Blue (Twitter Blue Verified subscribers) sasa wanaweza kupakia video za saa 2 (8GB).