Babu weee, kwani lazima udate wenye kucha ndefu?
Mbona nilishamuacha zamaani! Lakini kucha ninazozisema si vile vikucha, wenzenu wengine wanafuga kucha hadi mtu unafikiria za kazi gani hizi?Sasa kabla ya kuja kutusemesha hapa JF ulichukua hatua gani dhidi ya huyo demu wako mvivu?
Kucha hazizuii mtu kufanya kazi za nyumbani
kuna wengine hawafugi hizo kucha na bado kazi zote ni za housegirl
Kama mzuri kwenye idara nyingine ndiyo nimuache? Ikija kwenye kufungana pingu ndiyo unaanza kufikiri hizi kucha kweli masufuria yatasuguliwa kweli? Maana mwanzoni ni take away kwa kwenda mbele.Babu weee, kwani lazima udate wenye kucha ndefu?
Nashanga!
anataka kutuharibia siku na huyo chauvivu wake.
Kucha hazikatwi na kazi zinafanyika kama kawa! Huyo wa kwako alikuwa mvivu by nature wala kucha sio sababu!!
kucha ni urembo mzuri sana kwa mwanamke msafi! We ulimpata mvivuanataka kutuharibia siku na huyo chauvivu wake.