Sasa wale wafia dini hebu tuelezeni huwa mnawapapatikia hawa watu Kwa sababu zipi?

1711602677833.png
.... tutajuaje kama sio IGIZO!?
(... wayahudi na waarabu hawatofautiani, na hiyo clip inawezakuwa imeandaliwa na wayahudi ili kuwafitini watu wa Gaza wasipate huruma za walimwengu!)
 
Hizo ni roho tu za kibinadamu ni kama mzungu anavyombagua vinicius Junior.
Dini ililetwa kwa wote thats why kuna wachina wanaijua dini na wanapractice kuliko waarabu na Allah amesema
"Hakika nimewaumbeni mataifa na makabila mbalimbali ili tu mjuane, Ila aliye bora na aliye karibu na Allah ni mtu mchamungu...... "
Angalia matendo ya binadamu wote duniani yanafanana, waislamu wa kweli tabia zao zinafanana, waislamu wa mchongo pia wanafanana na hata wanaopinga uislamu wanafanana kwa hoja na chuki zao.
Nakuusia ingia kwenye dini ya haki dokta Matola
 
Hebu angalia hii video clip fupi Sana wala haikumalizii bundle lako, haifiki hata mb1, kama ulikuwa unajiona na wewe ni Mwarabu basi elewa wewe ni takataka tu Kwa Waarabu.

Jitafakari.

Cc: FaizaFoxy MK254 THE BIG SHOW

Hovyo sana tena inauma kishenzi tu.... waite wote akina Malaria 2 brazaj wao hufikiri wakivaa dera/kanzu wafanane na muarabu eti ndio wamefanya kitu cha maana sana.
 
Hebu angalia hii video clip fupi Sana wala haikumalizii bundle lako, haifiki hata mb1, kama ulikuwa unajiona na wewe ni Mwarabu basi elewa wewe ni takataka tu Kwa Waarabu.

Jitafakari.

Cc: FaizaFoxy MK254 THE BIG SHOW
Kwani wewe hujaona Video ya Papa akimbagua Askofu mweusi wakati Maaskofu wazungu walipewa hug/mabusu shavuni alivofika kwa Mweusi nini kilitokea? Tena uyu Papa wa Mambo yaleeeeeee
 
Wametia huruma, duh sio poa....
Ukiwakuta wanawatetea Waarabu huwa inashangaza Sana.

Wapo wanaotetea mpaka magaidi kisa ni wa dini yake.

Putin mpaka Leo kichwa kinamuuma inakuwaje mwislamu wa itikadi kali afanye mauwaji mwezi wa Ramadhan?

Sasa mtumieni Putin hii video clip kumsaidia kupata majibu.
 
Kwani wewe hujaona Video ya Papa akimbagua Askofu mweusi wakati Maaskofu wazungu walipewa hug/mabusu shavuni alivofika kwa Mweusi nini kilitokea? Tena uyu Papa wa Mambo yaleeeeeee
Mimi sitetei Papa wala kipapa, hapa issue watu weusi tuache kuabudu hawa watu.

Ndugu zetu Congo wanakufa kinyama Jirani tu hapo, lakini mswahili yuko bize na Free Please.

Stupid.
 
Hizo ni roho tu za kibinadamu ni kama mzungu anavyombagua vinicius Junior.
Dini ililetwa kwa wote thats why kuna wachina wanaijua dini na wanapractice kuliko waarabu na Allah amesema
"Hakika nimewaumbeni mataifa na makabila mbalimbali ili tu mjuane, Ila aliye bora na aliye karibu na Allah ni mtu mchamungu...... "
Angalia matendo ya binadamu wote duniani yanafanana, waislamu wa kweli tabia zao zinafanana, waislamu wa mchongo pia wanafanana na hata wanaopinga uislamu wanafanana kwa hoja na chuki zao.
Nakuusia ingia kwenye dini ya haki dokta Matola
🤣🤣🤣kumbuka hiyo ni futari kulingana na mafundisho yao hata mtu mweusi kwao ni qhafirii hivyo huyo mama amepata dhawabu kumyima qhafiri mweusi maji 😨😨
 
Back
Top Bottom