Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Hebu angalia hii video clip fupi Sana wala haikumalizii bundle lako, haifiki hata mb1, kama ulikuwa unajiona na wewe ni Mwarabu basi elewa wewe ni takataka tu Kwa Waarabu.
Jitafakari.
Cc: FaizaFoxy MK254 THE BIG SHOW
Umeona video clip ya Waarabu wenzako wanaonyima futari Mwarabu wa Kimanzichana?Naam, umeniita?
Tatizo nini?
Hebu angalia hii video clip fupi Sana wala haikumalizii bundle lako, haifiki hata mb1, kama ulikuwa unajiona na wewe ni Mwarabu basi elewa wewe ni takataka tu Kwa Waarabu.
Jitafakari.
Cc: FaizaFoxy MK254 THE BIG SHOW
Nina demu mmoja shobe wa kiarabu atalipia hili mfungo ukiisha...!Hebu angalia hii video clip fupi Sana wala haikumalizii bundle lako, haifiki hata mb1, kama ulikuwa unajiona na wewe ni Mwarabu basi elewa wewe ni takataka tu Kwa Waarabu.
Jitafakari.
Cc: FaizaFoxy MK254 THE BIG SHOW
Kwani wewe hujaona Video ya Papa akimbagua Askofu mweusi wakati Maaskofu wazungu walipewa hug/mabusu shavuni alivofika kwa Mweusi nini kilitokea? Tena uyu Papa wa Mambo yaleeeeeeeHebu angalia hii video clip fupi Sana wala haikumalizii bundle lako, haifiki hata mb1, kama ulikuwa unajiona na wewe ni Mwarabu basi elewa wewe ni takataka tu Kwa Waarabu.
Jitafakari.
Cc: FaizaFoxy MK254 THE BIG SHOW
Ukiwakuta wanawatetea Waarabu huwa inashangaza Sana.Wametia huruma, duh sio poa....
Mimi sitetei Papa wala kipapa, hapa issue watu weusi tuache kuabudu hawa watu.Kwani wewe hujaona Video ya Papa akimbagua Askofu mweusi wakati Maaskofu wazungu walipewa hug/mabusu shavuni alivofika kwa Mweusi nini kilitokea? Tena uyu Papa wa Mambo yaleeeeeee
🤣🤣🤣kumbuka hiyo ni futari kulingana na mafundisho yao hata mtu mweusi kwao ni qhafirii hivyo huyo mama amepata dhawabu kumyima qhafiri mweusi maji 😨😨Hizo ni roho tu za kibinadamu ni kama mzungu anavyombagua vinicius Junior.
Dini ililetwa kwa wote thats why kuna wachina wanaijua dini na wanapractice kuliko waarabu na Allah amesema
"Hakika nimewaumbeni mataifa na makabila mbalimbali ili tu mjuane, Ila aliye bora na aliye karibu na Allah ni mtu mchamungu...... "
Angalia matendo ya binadamu wote duniani yanafanana, waislamu wa kweli tabia zao zinafanana, waislamu wa mchongo pia wanafanana na hata wanaopinga uislamu wanafanana kwa hoja na chuki zao.
Nakuusia ingia kwenye dini ya haki dokta Matola