Sasa wasiosoma nao wapewe ubunge wa viti maalumu kama walemavu,wanawake,nk

HAKI KWA WOTE

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2022
Posts
2,783
Reaction score
2,396
Hii itasaidia kupima uwezo wa akili na hekima kati ya wabunge wasomi na wabunge wasiosoma.

Zingatia elimu siyo hekima ya uongozi
 
MTU akiwa sisiemu automatically anakuwa Bumunda haijalishi kasoma au hajasoma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…