Sasa Wizara ya Nishati washeni mitambo ya mafuta

Sasa Wizara ya Nishati washeni mitambo ya mafuta

Ngungenge

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2016
Posts
2,914
Reaction score
3,386
Sasa ni dhahiri Wizara ya Nishati washeni mitambo ya mafuta wakati mnajipanga na umeme wa maji.

Wakati huo fanyeni kuharakisha kuongeza uzalishaji wa Gesi ili tupate umeme wa bei nafuu.

Wizara ya mazingira andaeni strategic plan ya kupanda miti ya kutosha ili tupate maji.

Maeneo ya mabonde yapandwe miti ya mazingira.
 
Mie kaka yangu ni engineer, kaniambia hakuna upungufu wa maji wakusababisha shida hiyo ya umeme ila ni mkakati wa wakubwa kula hera za watanzania kwa kupitia neno dharura
 
MIE KAKA YANGU NI ENGINEER, KANIAMBIA HAKUNA UPUNGUFU WA MAJI WAKUSABABISHA SHIDA HIYO YA UMEME ILA NI MKAKATI WA WAKUBWA KULA HERA ZA WATANZANIA KWA KUPITIA NENO DHARURA
Mimi ndo nakwambia kuna uhaba wa maji sasa wewe bisha fanya ziara kijana, kidatu, mtera
 
Mimi ndo nakwambia kuna uhaba wa maji sasa wewe bisha fanya ziara kijana, kidatu, mtera
NI UHABA WA KUTENGEZWA NDO MAANA MGT YA TANESCO YOTE ILIONDOLEWA.LAKINI HATA HIVYO MITAMBO YA GAS IPO KWANINI HAWAZALISHI UMEME
 
Mie kaka yangu ni engineer, kaniambia hakuna upungufu wa maji wakusababisha shida hiyo ya umeme ila ni mkakati wa wakubwa kula hera za watanzania kwa kupitia neno dharura
Siyo kweli, au alete ushahidi.
 
Hizi nyuzi zinafutwa kwa spidi ya 5G

Makamba ameanza mambo yake

But kutakucha tu
 
Back
Top Bottom