Mtanzanias
JF-Expert Member
- Jul 30, 2021
- 1,747
- 3,725
Nafikiri Simba kuondoshwa kwenye michuano lilikuwa ni suala la muda tu kwa sisi tunaoujua mpira kiufundi tulijua mapema kwamba mwisho wa Simba ni hapo wasingeweza kutoboa kwa namna yoyote vile, mchezo uliishia kwa mkapa kule ilikuwa wanakwenda kukamilisha ratiba tu.
Sasa wanarudi kwenye ile ligi waliyoiita ya mbuzi maana viongozi wao walikuwa wanajificha kwenye kichaka cha kombe la shirikisho maana wangefuzu wangezima maumivu ya kuachwa alama 13 lakini ndo ivyo.
Wamesulubiwa vizuri tu kwaiyo wajipange uku napo awana chao waje wacheze mechi zao wakamilishe ratiba kwakuwa bingwa ashajitengea himaya yake