Mtanzanias
JF-Expert Member
- Jul 30, 2021
- 1,747
- 3,725
Tulikuwa tunawaambia apa kwamba awana timu ya kuwavusha apo walipofikia lakini walikuwa wanakuja na full matusi na kuaminishana maneno ya kwenye kahawa Kama unavyojua mjinga na mjinga wakikutana ni Kama pipa na mfuniko,,sasa tulikaa kimya ili waonyeshwe mechi za mtoano zinavyochezwa kikubwa,,,unaweza ukaruka ruka kama maharage lakini mwisho wa siku unakarishwa,,,ni sawa na kumhonga demu alafu anayekwenda kumla ni mwingine wewe unakuwa mhongaji tu na upati kitu!Usitegemee chochote kwa timu iliyojaza vibabu
Unawachezaji wazee ......then unataka ubingwa wa CAF .........labda CUF ya lipumba[emoji23][emoji23]Nafikiri simba kuondoshwa kwenye michuano lilikuwa ni suala la muda tu kwa sisi tunaoujua mpira kiufundi tulijua mapema kwamba mwisho wa simba ni hapo wasingeweza kutoboa kwa namna yoyote vile, mchezo uliishia kwa mkapa kule ilikuwa wanakwenda kukamilisha ratiba tu.
Sasa wanarudi kwenye ile ligi waliyoiita ya mbuzi,,,maana viongozi wao walikuwa wanajificha kwenye kichaka cha kombe la shirikisho maana wangefuzu wangezima maumivu ya kuachwa alama 13 lakini ndo ivyo.
wamesulubiwa vizuri tu kwaiyo wajipange uku napo awana chao waje wacheze mechi zao wakamilishe ratiba kwakuwa bingwa ashajitengea himaya yake
Imekatwa sana, angechukuliwa kwa sekunde 30 hiviInonga amuiga Mayele kutetemaView attachment 2199405
Wanavyoandika kwa kejeli, utadhani jana Uto...ndio walioifunga Simba.Inafurahisha kuona mashabiki wa uto wakijadili mambo ya msimbazi
Kwani Nyie Mayele Hajawafunga? [emoji854]Wanavyoandika kwa kejeli, utadhani jana Uto...ndio walioifunga Simba.
Alitufunga jana kwenye penalty.Kwani Nyie Mayele Hajawafunga? [emoji854]
πππ Jana kocha wao alianzisha walinzi tupu! Ili kuwepa kipigo cha aibi ugenini! Mugalu kachezeshwa kama kiungo mkabaji, na matokeo yake tuliyaona!'Thiti ithi thimba',ohhh!! Sorry,'Shimba guvu moja'[emoji12][emoji12]
Hongereni Yanga kwa ushindi wa jana.πππ Jana kocha wao alianzisha walinzi tupu! Ili kuwepa kipigo cha aibi ugenini! Mugalu kachezeshwa kama kiungo mkabaji, na matokeo yake tuliyaona!
Natamani kile kikosi cha jana kianzishwe tena tarehe 30 Jumamosi ijayo pale kwa Mkapa!