Sasa zamu ya akina dada ikitokea fursa kuchagua mume hapa Jf utamchagua nani?

mmmmmh mie mtata hatareee ukiniona hujuti kunifaham nina Mashaka n.a. mfuko wako
Tatizo sio pesa pesa kitu gani bana!!nataka nikipita na wewe sehemu washkaji wagusane!! Sio nakupeleka home wazazi waniite pembeni waniulize!!mwanangu hivi huko mjini ekosa wanawake hadi ukatuletea huyu???
 
ukoo utafanya sherehe Maana najaa badili uko kwa urembooo
 
[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134][emoji134][emoji134][emoji134][emoji134][emoji85][emoji85][emoji85][emoji85][emoji85]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…