Sasababu saba zinazowafanya wanaume wachelewe kuoa

Nahisi namba nne na namba sita ni sababu hasa zinazopelekea mwanaume kuchelewa kuoa.
 
RED..May b hapo... unatembea ktk mstari...!! lakini nahisi kasi ya kuporomoka kwa maadili ya jamii tuliyomo inaweza kuwa ni sababau ingine inayowafanya ma-bachela kusita kuoa...!!mapenzi yanageuka kama ushindani kati ya mke na mume...!
 
wanachoka kufua ,kupika na kuosha vyombo

FL1 umenichekesha kweli, mabinti weneywe wa sikuhizi hapa kusoga ugali hawawezi achilia mbali kuosha vyombo :bowl:
mi nadhani ukipata anayekufaa na mtulivyo inasaidia kuharakisha mambo
 
RED..May b hapo... unatembea ktk mstari...!! lakini nahisi kasi ya kuporomoka kwa maadili ya jamii tuliyomo inaweza kuwa ni sababau ingine inayowafanya ma-bachela kusita kuoa...!!mapenzi yanageuka kama ushindani kati ya mke na mume...!

point kali
 
nadhani pia hutakiwi kusahau kuwa kuna baadhi ya wanaume ambao wanachelewa kuoa kwa sababu ya kutendwa na hivyo kumfanya aamini ya kuwa hakuna mapenzi ya kweli duniani,na kuwaona wanawake wote wako kama aliyemtenda hivyo kuogopa!
 
To me i belive god know when i will get married. So i let it to him to deliver my wife and hope to be good mother to the fruits to the lord...

Belive, worship and pray for that and i promise you he will deliver ur wife..
 
gharama kubwa za mahari especially kwa wakristo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…