Lucchese DeCavalcante
JF-Expert Member
- Jan 10, 2009
- 5,471
- 752
1:35pm UK, Wednesday September 02, 2009
A White House photographer has captured a surprise visitor sneaking up on the US President in the Oval Office.
Sasha Obama in the Oval Office
Barack Obama was finishing some paperwork for the day, seemingly unaware his eight-year-old daughter Sasha was spying on him from behind a sofa.
The picture was taken by official White House photographer Pete Souza, whose brief is to document Mr Obama's presidency for the sake of history.
The image is reminiscent of a series of photos snapped in the 1960s showing JFK Jr playing under the Resolute desk while his father worked.
John Kennedy Jr in the Oval Office in 1963
kademu kanguHa ha ha..Haka kabinti kanaonesha ni katundu sana.
kademu kangu
kademu kangu
Inapendeza sana, hii ni family ambayo iko close sana. inafaa kuitwa first family. sio mababa wengine watoto wakikuona mbio kujificha
Hapana. Katoto hako kanavunja protokali na mipaka ya kazi. Wamekamezea tu based on fact kwamba ni katoto hakajui kalitendalo.
Ndugu wanitisha yaelekea wewe ni walewale ukirudi home tu watoto wanakimbia kisa baba karudi.... badilika ndugu kucheza na kuwa karibu na wnao ni vizur ten ukiangalia kipindi hiki cha dot.com ni vyema ukawa rafiki mkubwa wa watoto wako na ikipidi kam wafanya kazi hadi jmosi siku ukijua huna kazi nyingi wapeleke wanao kazini kwako nao wakashinde huko.
This girl is going to be a genius just like her dad
Inawezekana wewe hapo unataka kigezo gani? kangu hako!!Mkuu umetumia vigezo gani kuconclude hivyo?
This is a pure political stunt. i love Obama lakini huyo photo snapper alikuwa anafanya nini? Mtoto kaingia ki-silencer bila kufungua mlango?
Kujifariji inaruhusiwa.