Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shida ni kubadili Makocha mara kwa mara!Nawaomba mashabiki wa Manchester United mpitie huu uzi (thread) tujuzane shida ni nini aisee
Sasa mkuu van Gaal si alikuwa na maono kama hayo ya kuendeleza vijana kupitia academy akatimuliwa kwa kuonekana hana maono .come to reply.
Mawembasa1979, Manchester inapitia kipindi cha mpito mno. Wachezaji wakubwa kama Fernandes, CR7 na wengine wanaonekana kama mizigo tu. Bora tutimue wote tuanze na vijana wa Academy.