Sat, Apr 23: Man Utd Vs Arsenal

Akaliza

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2022
Posts
227
Reaction score
239
Stadium: Emirates
Mpaka sasa Arsenal 3, Manchester United 1.

= ==================

UPDATES: Coming Soon

78' mambo bado ni yaleyale.
Yellow Card😂: 4 kwa Man Utd; 3 kwa Arsenal.

(90+)'.
Goals;
Man Utd: CR7
 
Nawaomba mashabiki wa Manchester United mpitie huu uzi (thread) tujuzane shida ni nini aisee
 
come to reply.
Mawembasa1979, Manchester inapitia kipindi cha mpito mno. Wachezaji wakubwa kama Fernandes, CR7 na wengine wanaonekana kama mizigo tu. Bora tutimue wote tuanze na vijana wa Academy.
 
come to reply.
Mawembasa1979, Manchester inapitia kipindi cha mpito mno. Wachezaji wakubwa kama Fernandes, CR7 na wengine wanaonekana kama mizigo tu. Bora tutimue wote tuanze na vijana wa Academy.
Sasa mkuu van Gaal si alikuwa na maono kama hayo ya kuendeleza vijana kupitia academy akatimuliwa kwa kuonekana hana maono .
 
come to reply:

pwilo, nimewahi sikia kwamba Manchester washinde au wafungwe still bado ni klabu kubwa inayopata pesa sana hapo England. Hivi hii haiwapi kiburi cha kuwafukuza makocha kwakuwa hawategemei ushindi kupata pesa ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…