Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inatumikaje mkuu?
Tuelekeze sisi ambao sio mafundi tununue
Aahh...hiyo bei ndefu mkuuuingekuwa kama hii ungenishawishiView attachment 940812
Bado ipoSatelite finder inatumika katika kufunga madishi au kurekebisha dishi endapo litayumba,
Mafundi wakufunga madishi mnakaribishwa #acha kufanya kazi yako kwa kukariri.
Pia yeyote waweza inunua ili ikusaidie kuset dish lako endapo litayumba #punguza gharama za kumuita fundi kuset dish.
Bei 17,000 Tsh
Contact;0687186489
Location;DAR-temeke-tandika
View attachment 940598
hii bei ni elfu 17 mkuu au laki na 70Satelite finder inatumika katika kufunga madishi au kurekebisha dishi endapo litayumba,
Mafundi wakufunga madishi mnakaribishwa #acha kufanya kazi yako kwa kukariri.
Pia yeyote waweza inunua ili ikusaidie kuset dish lako endapo litayumba #punguza gharama za kumuita fundi kuset dish.
Bei 17,000 Tsh
Contact;0687186489
Location;DAR-temeke-tandika
View attachment 940598
zipo nyingi au ni moja17elfu