Mkuu nipe dondoo mbili tatu kuhusu hawa jamaa...hawarespond simu
KONNECT[emoji341] MTANDAO WA INTERNET[emoji687] WENYE KASI ZAIDI[emoji2929] TANZANIA
KONNECT[emoji2930] ni mtandao wa internet unaotoa huduma ya internet[emoji341] kwenye Ofisi[emoji161], Nyumbani🛖, Hospital[emoji541], Shule[emoji309], Vyuo[emoji310], Hardware [emoji62][emoji3548], Showroom [emoji2914], Supermaket [emoji2920] , Viwandani [emoji3541], Garage[emoji2923], Stationary[emoji419][emoji420], Pharmacy [emoji381]Hotels [emoji2421] n.k
KWA NINI UCHAGUE KONNECT? [emoji2930][emoji2930]
Tunajua umechoka kusubiri mtandao [emoji687] wako ili kuweza ku download [emoji3593]au kufungua taarifa.
Mtandao wa Satelite [emoji2930] wa KONNECTsasa unapatikana nchini Tanzania. Ambapo tuna uzoefu wa kutoa huduma ya mtandao [emoji687] yani INTERNET[emoji341] kwa miaka 40 Kupitia, satelite [emoji2930]yetu ya KONNECT. Ambayo ina kasi ya juu zaidi ya Internet hadi Mbps 100 per sec kwa watu bila kujali wanaishi wapi.
Huduma hii inapatikana kwa njia ya satelite [emoji2930] ambayo inakuunganisha wewe kutoka kwenye antena [emoji341] yako kwenda kwenye satelite [emoji2930] zetu moja kwa moja za eurosat ambayo inakupa wewe mteja internet[emoji687] yenye speed [emoji2929] kubwa na yenye uwezo bila kikwazo chochote cha hali ya hewa [emoji3547][emoji2413]
Pata internet isiyo na kikomo kwa kulipia mwezi na utumie kadri uwezavyo bila kujali umetumia matumizi ya ukubwa gani kipindi chote unacho peruzi kwa speed [emoji2929] hadi mbps 100 kwa sec
Jiunge na wengine kote Tanzania [emoji1241] kwa kutumia huduma zetu leo[emoji2930]
Jiunge na data isiyo na kikomo popote Tanzania unganisha hadi vifaa 100
Bei zetu ni nafuuu mnooo ili kupata maelezo zaidi na kupata huduma hii
Wasiliana nasi[emoji338]Kwa Simu 0763038490
MWANZA.
Au Kwa WhatsApp [emoji336]0763038490
Timu yetu ya wataalamu wa mauzo iko tayari kukushauri na kukuunganisha.