Sativa, kitendo cha kujitosa katika uchaguzi wa Chadema kipindi hiki ukiwa unapigania haki yako ya kutekwa, si sawa

Malaria 2

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2023
Posts
6,846
Reaction score
10,288
Kila mtu anahaki kupenda anachotaka. Wazungu wamesema
Everyone has the right to love what they want.

Lkn kitendo cha kujitosa mzima mzima tena kwa nguvu sana ktk uchaguzi wa chadema kipindi hichi ukiwa unapigania haki yako ya kutekwa sio kitendo kilicho sawa.

1. Utapoteza mwelekeo wako kabisa na utakosa nguvu ya support kutoka kwa chadema na wanaharakati wengine ambao hapo mwanzo walikuwa wakipaza sauti.

2. Hivi sasa ktk social media unavita vya aina 3, Ccm, chadema na invisible.

Baada ya uchaguzi wa chadema ambao wazi kabisa Lissu anaangushwa ktk uchaguzi huu ni wazi na weye mwelekeo katika kudai haki yao nguvu itapotea kabisa , Lissu atakukipimbia kabisa.
USHAURI.

HUJACHELEWA, KAA KANDO KTK VITA HIVI VYA UCHAGUZI, ILI SUPPORT KWA
 
Kila mtu anahaki kupenda anachotaka
Wazungu wamesema

Sativa hayupo Tanzania.
Utamkamataje?
 
Kijana bado mdogo..
Police- Matusi ya nguoni
CCM-Matusi
Mbowe- Matusi
Yeye wa maana kwake ni
Maria , Kubeti, Lissu..

Time.
 
Back
Top Bottom