Cute Wife
JF-Expert Member
- Nov 17, 2023
- 1,906
- 5,000
Sativa ameandika haya kwenye ukurasa wake wa X;
"Hii ndio hali yangu ya Sasa.
"Madaktari wanaweza kunielewa. Hizi nyaya na Lastiki nimefungwa mdomo mzima.
"Hii ni kama "HOGO" ambapo ukivunjika kwenye mfupa linafungwa kwa nje kuzuia movement za eneo husika.
"Hizi nyaya zinafungwa na Lastiki ambazo lengo lake ni KUBANA meno yashikane kusiwe na movement ya mdomo.
"Kwazaidi ya week 4 sasa tangu nimefanyiwa operation tarehe 2/7 siwezi KUFUNGUA mdomo.
"Hata ongea yangu ni ya shida, kuna maneno nikiongea huwezi kunisikia vizuri. Kucheka siwezi, kupiga chafya siwezi, kupiga mihayo siwezi.
"Sehemu ya nyuma ilipoingilia RISASI kuja kutokea kwenye taya kuna maumivu makali sana.
"Kwa mujibu wa daktari alisema hayo maumivu ni ya ndani "soft tissue" zilichanwa wakati risasi inapita kwenye kichwa.
Pia soma: Masauni: Sativa hatoi ushirikiano wa kutosha kwa Jeshi la Polisi
"Ni kweli mapolisi wamekuwa wakinitafuta mimi na Wakili Kisabo wakitaka niende nikatoe ushirikiano. Majibu yetu yamekuwa "bado nipo kwenye matibabu".
"Mimi nilishahojiwa katavi kwa zaidi ya masaa matatu na mpelelezi wa huko. Nilihojiwa na RCO wa katavi hospitalini Mpanda tena alinirekodi na simu yake, ikaisha chaji wakaanza kunirekodi na simu ya msaidizi wao.
"Kwahiyo WAO ndani wanaijua hii ishu vizuri sana ila front wanataka kuwa kama nyie ambao hamjui kitu.
"Mimi naendelea na matibabu, nikimaliza nitatoa ushirikiano wanaotaka.
Pia soma: Sativa225 (Edgar Mwakabela) kijana maarufu kwa kukosoa serikali X apatikana, baada ya kutekwa na ‘watu wasiojulikana’
"Kwakua saizi wameamua kutumia advantage ya ukimwa wangu kupiga Pyala sawa ni wakati wao TAMBENI wakina Masauni.
"Muda utaongea."