Boniphace Kichonge
JF-Expert Member
- Jul 31, 2017
- 1,605
- 1,957
Kwa mujibu wa tafiti mbalimbali ulaji Samaki aina ya Sato kwa wingi unaongeza uwezo wa brain kufanya kazi.
Aidha hata mama mjamzito akitumia samaki hao kwa wingi hasa vichwa vyake kabla na baada ya kujifungua basi mtoto wake anakuwa na uwezekano mkubwa wa kuwa na brain nzuri zaidi.
Hali huongeza uelewa wa mtoto darasani. Samaki hao wanapatikana Ziwa Victoria.Mbali na kuongeza uwezo wa brain samaki hao pia huongeza uimara wa viungo vya mwili, ukuaji wa uhakika, pamoja na kuongeza hali ya kujiamini.n.k
Aksanteni.