Sato Wanaongeza uwezo kwenye ubongo

Boniphace Kichonge

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2017
Posts
1,605
Reaction score
1,957
Kwa mujibu wa tafiti mbalimbali ulaji Samaki aina ya Sato kwa wingi unaongeza uwezo wa brain kufanya kazi.

Aidha hata mama mjamzito akitumia samaki hao kwa wingi hasa vichwa vyake kabla na baada ya kujifungua basi mtoto wake anakuwa na uwezekano mkubwa wa kuwa na brain nzuri zaidi.

Hali huongeza uelewa wa mtoto darasani. Samaki hao wanapatikana Ziwa Victoria.Mbali na kuongeza uwezo wa brain samaki hao pia huongeza uimara wa viungo vya mwili, ukuaji wa uhakika, pamoja na kuongeza hali ya kujiamini.n.k

Aksanteni.
 
Kwa huo utafiti inabid watu wa kanda ya ziwa wawe extraordinary mana ulaji wa sato kwao ni mkubwa
 
ni kweli.na madini ya OMEGA -3 ndo yanayosaidia hapo kwenye ukuaji wa ubongo na mtoto kuwa mwepesi kiakili...
but utafaidika sana na haya madini kwa samaki aliyetoka direct ziwani hadi jikoni ukamuandaa mlo.alievuliwa kwa njia za asili.

sasa kama we upo mjini mbali huku..samaki mpaka wafike washaekwa madawa ya kutosha..si bure pia walivuliwa kwa baruti.
hapo utakula madini pungufu nakujaza sumu mwilini.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] danganyaneni, kama baba na mama hamna akili, huo uwezo hata umlishe huyo mjamzito sato wote w humi VICTORIA hamna kitu
 

ungesema ulaji wa sato unakuza miguu tumbo na mikono ningekuelewa lakini sio ubongo!!.. wala huhitaji kufanya tafiti kuubwaaa we chunguza tabia na matendo ya hao wala mapanki..very simple minded!!
 

Wala sato wengi wana akili nzito balaa hapa jirani zangu wamekulia huko daah majanga!!.. watoto wao sasa yaani bora hata baba na babu zao.. akilli hazikui wanakua miguu tu!!..na hawa msosi wao daily ni sato!!wanaletewa kutoka kwao huko kanda ya ziwa.. mifano ninayo mingi ila nimeanza na mfano wa jirani yangu na usitake niendelee zaidi
 
We we mzee kijeba unatakiwa ule sato Wa ziwa Victoria wote hasa wale wanaotoka kwenye mazalia yao karibu na kisiwa cha Rubondo..

Maana ubongo wako una kamasi na fikra zako ni ndefu mithili ya gidamu za pampers za mwanao Wa mwisho!

uache kujikomba kwa Ccm..Uzi wako unataka kutuambia kwamba mzee kipara ni genius? kwakua ana nunua sato pale mwalo wa Muganza?? wewe mzee bwn..soon utakua pacha Wa le mutuzz!

kula mapanki mzee kijeba!
 
Hahahah hebu endelea mkuu..kwamba hao watoto wakiendelea kula mapanki watakua jamii ya willy malecela au?! kwamba watanenepa mpaka pua lakini akili size ya kisoda? fafanua kidogo boss!
 
Mbona hao hao walaji wa sato tena wanakua na PhD za ujanja ujanja...
Kweli kabisa watu wa kanda pendwa pamoja na kula sato wameishia kuzalisha kina dr shika na phd za mafuta ya korosho zenye walakini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…