Mm Zaidi shem. Najua pia unamis kitu ya Arusha. Ukiona unashindwa kuvumilia niambie nitakutumia shem[emoji85]Halafu ujue nilikumiss
Huyo ni shangazi yangu wa hiari nimempata hapahapa JF my dear!.....nampenda sanaMmmh! Huo Ushangazi wa Tumbo moja au kwa binamu?
Najibu hii thread kwa ajili yako, yani nakujibu wewe tu naona umeharisha weee meza flagyl.....
Kama unahisi nlikusema wewe nakupa pole pole kwa kujishtukia, reply yangu katika ule uzi sikua nakusema wewe
View attachment 543124 View attachment 543124
B nikikuona kabla sijasoma comments yako lazima nicheke.Shangazi am missing you too much!![emoji4][emoji4]
Post sent using JamiiForums mobile app
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] nisaidie mpnz tujue maana huu ushangaz una utataMmmh! Huo Ushangazi wa Tumbo moja au kwa binamu?
[emoji24][emoji24]Ukhuty tu hao wengne wasubir zam yao
[Color= yellow]Triple A[/color]
Huyo ni shangazi yangu wa hiari nimempata hapahapa JF my dear!.....nampenda sana
Post sent using JamiiForums mobile app
Am waiting...koh koh!Nachaji hii tekno wereva i ll be back......
Hee!! Kulikon mama watoto[emoji24][emoji24]
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] nisaidie mpnz tujue maana huu ushangaz una utata
Jesus is my saviour and a friend
Ahaaa Owkey.
Kwani kuna tatizo??
Umevurugwa wewe sio bure. Halafu Usinipangie cha kuandika wewe [emoji118] [emoji118] [emoji118] [emoji118] [emoji118] [emoji118]Tatizo unalo tena si dogo
Imebidi nije kukusaidia make inachekesha kuwa katika ugomvi afu sina taarifa, ndo utoe taarifa sasa, mara kama nmekuchukulia bwana bwana yupi labda? Mi sijawahi kuwa na apetite na vi ben 10 ila kama una bwana mzee kweli maweza mchukua
Najibu hii thread kwa ajili yako, yani nakujibu wewe tu naona umeharisha weee meza flagyl.....
Kama unahisi nlikusema wewe nakupa pole pole kwa kujishtukia, reply yangu katika ule uzi sikua nakusema wewe
View attachment 543124 View attachment 543124
Ahaaa Owkey.
Kwani kuna tatizo?
Huu ni uzi kama nyuzi nyingine.
Kila mmoja yupo huru kuchangia anavoona tusishikane mashati aseeeh!
Cc Smart911
Furah imepitiliza hubbyHee!! Kulikon mama watoto
[Color= yellow]Triple A[/color]