Saturday battle: Everlyn Salt vs Miss Natafuta

hahaa...yani kuna mtu kaitwa punda sijui mavi usiku wote huu?..hamna huruma nyi watu?.....katoto kamenywea hata amesahau kumquote kivulana chake..muoneeni imani mtoto wa watu. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hapendi malumbano.. Alishanikataza ndiomana sijamtaja.. Ninywwe kwa kipi hasa?? huyo kameza ya maneno yote machafu ndomana anaropoka ropoka

Wee jiulize kwanini wote hao wanarusha mawe kwa mtu mmoja??? Utapata jibu
 
Hapendi malumbano.. Alishanikataza ndiomana sijamtaja.. Ninywwe kwa kipi hasa??

Wee jiulize kwanini wote hao wanarusha mawe kwa mtu mmoja??? Utapata jibu
angekukataza na kuzua tafarani humu..ona sasa unajiaibisha mama?..ya nini kulumbana kama wako anakupenda?
 
angekukataza na kuzua tafarani humu..ona sasa unajiaibisha mama?..ya nini kulumbana kama wako anakupenda?
Sijalumbana na mtu I was commenting jamani.. Huu ni uzi kama nyuzi nyingine....

Mchawi si lazima aroge jamanieeeee!
 
Hapendi malumbano.. Alishanikataza ndiomana sijamtaja.. Ninywwe kwa kipi hasa?? huyo kameza ya maneno yote machafu ndomana anaropoka ropoka

Wee jiulize kwanini wote hao wanarusha mawe kwa mtu mmoja??? Utapata jibu
ila kwa ushauri wangu keep low profile..sioni haja ya kujiweka wazi kuwa tayari ushapendwa na mwanamme manake ikitokea siku mkabwagana utaaibika mama..hizo cc tupa kule kabisa..nahisi ni watu wazima mapenzi ya ki highschool hayawafai
 
kina dada wengi humu tuna wapenzi wa kutamanika...namaanisha wanaume handsome wenye nafasi zao wametupenda tumedata...ila hili ni jukwaa la kubadilishana mawazo na kuchangamshana wala usilichanganye na maisha yako ya faragha...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…