ume litaka mwenyewe baada ya kupewa za uso una jitetea sizani kama kuna alie upande wako labda uyo unae M,cc. ila nae sizan kama ana sapot pumba ulizo kua una zitoa apaaHapendi malumbano.. Alishanikataza ndiomana sijamtaja.. Ninywwe kwa kipi hasa?? huyo kameza ya maneno yote machafu ndomana anaropoka ropoka
Wee jiulize kwanini wote hao wanarusha mawe kwa mtu mmoja??? Utapata jibu
MsambwandaUnamaanisha Frog au Toad?
Mende je!?we mtakatifu usinitajie hicho kitu muda huu.utaniharibia pozi
Nime pitia Comments zako nyingi tu ulizo kua una zitoa umu naona una tatizo sio dogo una hitaji msaada bintiSijalumbana na mtu I was commenting jamani.. Huu ni uzi kama nyuzi nyingine....
Mchawi si lazima aroge jamanieeeee!
Hapendi malumbano.. Alishanikataza ndiomana sijamtaja.. Ninywwe kwa kipi hasa?? huyo kameza ya maneno yote machafu ndomana anaropoka ropoka
Wee jiulize kwanini wote hao wanarusha mawe kwa mtu mmoja??? Utapata jibu
nampenda kipepeo mie..Mende je!?
Nataka kujua mdudu gani unampenda ila humuogopi.
Cc Fernando Jr [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Usijali kabisa umepata
Alfu tuheshimiane humu... Mnajua Rubii nilikuwa namtomgoza mimi, nikagundua ni dem wa my bro Swissme. Nikasema basi nitakuwa bodyguard.boss hv unamjua huyu mtoto
rubii maana huyu mtoto kwa hapa JF ndo true definition ya mwanamke mrembo, kuna wakati nliwahi kutana nae kwao itilima bariadi akiwa mtoni anafua nguo zake
Sky Eclat vs Miss ChagaNext battle mchague hapa:
1. Mahondaw vs Ms.Lincoln
2. Aggyjay vs rubii
3. geniveros vs demi
4. rubii vs mahondaw
Battle ipi itokee wiki ijayo kati ya hizo?
Ha ha ha hapo sawa. Nimekupenda burenampenda kipepeo mie..
mi nina wangu ila nashukuru kaka.Ha ha ha hapo sawa. Nimekupenda bure
na ujuwe ako online pia nmemuona katika uzi huu usije ukaanza mambo ya kitakatifu πHa ha ha hapo sawa. Nimekupenda bure
Yah mambo si hayo! Ila ukianza maneno ya shombo usini-Cc nisije kuitwa kivulana sijui MB70 humu nitakukana mara3Γ30 sawa my dear?Cc Fernando Jr [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Sent from my Iphone 7 plus using JamiiForums app
Nani huyo. Afu hujani pm leo ?na ujuwe ako online pia nmemuona katika uzi huu usije ukaanza mambo ya kitakatifu π
Hahahah! pambano limepigwa JechalismShindano limefutwa na jecha.....
hmm...Nani huyo. Afu hujani pm leo ?
Najua una wako. Mbona dada zangu nawapenda. Wewe upo kwenye kundi moja nao. Usiogopemi nina wangu ila nashukuru kaka.
Kwanza wewe dawa yako ni jongoo. Soon nitakuletea jongoo hadi ndani kwakohmm...
ataliwa na kuku wangu. πKwanza wewe dawa yako ni jongoo. Soon nitakuletea jongoo hadi ndani kwako