Nisubirie hapo hapoTukimbie kwa afya.
Wakimbiaji wenzangu tukutane DASANI MARATHON View attachment 1127790View attachment 1127791
Yes nipo hapo hapoUpo hapa nilipo mpenzi??
Okay. Thanks ukiona mtu mfupi mweusi na kitambi na litishet la bluu kubwa basi ndio sumbai.Hata mimi ninacho na nakimbia [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
OK loveHaya mie nakunywa supu hapa. Nicheck ukimaliza stretching
Sawa mamaNgoja nimalize kudanga nakujaaa mamyView attachment 1127827
Sawa mama