Chama cha sauti ya umma (SAU) Kinatarajia kuzindua ilani ya uchaguzi mkuu wa 2020 na kampeni zake siku ya tarehe 13/09/2020
Uzinduzi wa ilani utafanyika kizitendo katika eneo la KWAZOO kata ya buyuni na baadae mkutano wa uzinduzi eneo la MOMBASA karibu na stand ya mabus katika Jimbo la ukonga jijini Dar es Salaam
Zaidi soma: Uchaguzi 2020 - SAU wazindua Kampeni na Ilani kwa vitendo. Watumia Trekta Kulima kuonesha dhamira ya Kumtoa Mtanzania kwenye Jembe la Mkono
Sent from my TECNO LC6 using JamiiForums mobile app