Sauti ya Umma
Member
- Aug 26, 2010
- 39
- 21
Chama cha Sauti ya Umma (SAU) kimeishauri serikali kwa kushirikiana na vyombo vya habari na makundi mengine kutenga siku maalum ya kuhamasisha watanzania kuwachangia wenzetu wa Uturuki na Syria waliokumbwa na janga la tetemeko la ardhi.
Tetemeko hilo lililosababisha takribani watu 47,000 kupoteza maisha, majeruhi wengi lakini uharibifu mkubwa uliotokea ambao watu wengi wamekosa makazi.
Japo kuwa kwa sasa ipo namba maalum kutoka ubalozini kwa ajili ya kuchangia lakini hakuna uhamasishaji na watanzania wengi hawajui Kama kuna njia hiyo ya kuchangia.
Hawa ni wenzetu washirika wetu tuwenao pamoja katika kipindi hiki kigumu sana kwao ikizingatiwa jana tetemeko hilo limejirudia tena