Sauti ya Umma
Member
- Aug 26, 2010
- 39
- 21
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Safi sana.. mtu akitaka Kadi ya uanachama zinapatikana wapi
Dar, Mwanza, Kilimanjaro, na Dodoma...Uko mkoa, wilaya na eneo gani ili niweze kukuunganisha na tawi lililo karibu yako
Uko mkoa, wilaya na eneo gani ili niweze kukuunganisha na tawi lililo karibu yako
Mungu wa mbinguni awatangulie katika malengo yenu ya SALA na KAZI ili mfanikiwe.Leo chama cha Sauti ya Umma(SAU ) kimezindua kauli mbiu mpya ya chama isemayo SALA NA KAZI kauli mbiu hiyo itakuwa moja ya sera za chama.
View attachment 2520364
View attachment 2520353
View attachment 2520385
View attachment 2520374
Mimi nipo Namanyere Wilaya ya Nkasi. Ninahitaji kadiUko mkoa, wilaya na eneo gani ili niweze kukuunganisha na tawi lililo karibu yako
Dar, Mwanza, Kilimanjaro, na Dodoma...
Chama chenu kimeanzishwa lini?
Mungu wa mbinguni awatangulie katika malengo yenu ya SALA na KAZI ili mfanikiwe.
Hii Ni Slogani iliyoasisiwa na St Benedict na ikabebwa na wamisionary wa shirika la wabenedictin! Kilatini inaitwa Ora et Labora!
Je watu wa madhehebu mengine na Dini nyingine tofauti na wakatoliki hawataona kwamba mmejinasibisha Kidini na kidhehebu zaidi kitu kitakachofanya mkose kuungwa mkono na makundi hayo mengine?
Ora et Labora
St Benedict's motto was Ora et Labora (prayer and work). Laborare Est Orare (to work is to pray), detail of a nineteenth century painting by John Rogers Herbert, showing Benedictine monks at work
17/02.2005 tarehe kama ya leo
Ni chama cha siasa ama?
SAUTI YA UMMA (SAU) ni chama cha siasa chenye viongozi wanaoishi Tanzania pamoja na familia zao, wakiwa 100% raia wa Tanzania wenye uchungu na Tanzania na nia ya kweli ya kuwavusha watanzania
Sala na Kazi.wabenedictin wa catholic wameliweza hilo.SAU Watakuwa wanasalia wapi? Na kazi gani watafanya wakati hakuna mitaji na ajira?Kiongozi wa Kitaifa ni nani?na ni upi ulikuwa msimamo wenu baada ya Magufuli kuzuia mikutano ya hadhara kiharamu na nini ulikuwa msimamo wenu juu ya Uchafuzi wa 2020?