Sauda Mwilima kimeeleweka

Hongera zake...si wote wanaopenda kuolewa wanaolewa...kuzaa ni majaliwa....la muhimu kapata mwenza...:smile-big: :busu
 

Hapa akisoma msaafu.

MSAAFU NI KITABU KITAKATIFU LAZIMA UWE NA ADABU UNAPOSOMA WALA SI KAMA VILE UNASOMA GAZETI LA UDAKU TENA UKIWA UJAJISTILI
 
.......jamani wachina....

Alie na foto yake ya zamani airushe tafadhali...
 
Ya nini wakati mwenzio keshapata wa kumchukua jumla na ambaye hawezi badili uamuzi wake hata kama bibiye alikuwa cheusi mangala before. Wachambue watafutaji; mke wa mtu huyo sasa.


.......jamani wachina....

Alie na foto yake ya zamani airushe tafadhali...
 
haka kabinti bila make-up unaweza kukakimbia..kana sura chachu!!
 
hongera mwaya sauda...
kila mtu mungu kamuumbia wake....ni wewe kumtafuta tu....
 
Wakati anaanza kutangaza star tv alikuwa mweusi kama mamaake
 
Ile hali wengine wanatoka wengine wanakimbilia kwa spidi kubwa...kila la kheri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…