Sauda Mwilima kimeeleweka

Fidel80, wife material ndio nini embu nijuze, ni mpenda vitu au ni aje
 
Why red Car? Ina husiana na Liyumba?
 
mhh anapenda sana kujifanya km kinyago...yaan sjui hana mashost wa kumshaur..mapooooooooda makujichubua ahh mpk anatia kinyaaa
 
Kwa sisi tunaofuatilia magazeti ya udaku huyu dada zaidi ya kasoro ya kujikoboa ni wife material. Hanaga makashfa ya ukicheche.

hapo na uvaaji/make up zake.... huwa cmuelewagi kabisa huyu dada, hajawahi nivutia kabisa, cjui niseme cjawahi kumwona kapendeza, uvaaji wake ni 0, make up ndio nabloo mwenyewe.....kila la kheri mdada...
 
jamani jana nimemcheki huyu mama kwenye kipindi chake,yani ngozi yake inataka kutoboka,ukimfinya nadhani utaondoka na ngozi, aliye
na ukaribu nae amshauri jamani. sijui anatumia jiki?
 
jamani jana nimemcheki huyu mama kwenye kipindi chake,yani ngozi yake inataka kutoboka,ukimfinya nadhani utaondoka na ngozi, aliye
na ukaribu nae amshauri jamani. sijui anatumia jiki?

Mwache apendeze, unataka asimulie nini akizeeka?

Jiki? Ha ha haaaa aisee
 
Anafikir kuwa mweupe ni dili sana ngoja ngoz iishe cjui hatachubua nn?
 
Mbumbumbu tu yule mbona uzuri c rangi khabithi l amali chwaka marumbi uroa ngawa wewew
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…