Saudi Arabia Miseries: Video inayoonyesha wanawake wanaonyonyesha mbwa nchini Saudi Arabia yawakasirisha Wakenya

Moderator nimeandika mapema pale chini nikiomba usiamishie huku with special notes ikiwa ni kwa watanzania, uzi huu unawahusu wakenya sasa unapohamishia huku inakuwa haina maana hata wasomaji wake inakuwa based.
 
Waarab wana roho mbaya sana..

Saudi arabia ndio nchi takatifu ya kiislamu...

Na katiba ya nchi ya saudi arabia ni Quran

Wananchi wanasali sala 5.. ila matendo yao ni ya kishenzi sana.
Kaa mbali na neno, "sheria za kiislamu na Uislamu"
 
You're right, yote kwa yote kuna kitu kinaitwa umasikini, hiki kitu kinawafanya waafrika kujitoa ufahamu pamoja na utu, mtu akimwona mtoto wa jirani kafanikiwa baada ya kwenda Oman nk basi anajitahidi na yeye kwa njia yoyote, kwa mtu yeyote ili aende pasi kuchuja.

Madhara ya kukurupuka kwenda huko haya tunayoyaona ni 1/4 ya yale tusiyoyafahamu.
 
Serikali zetu hazipaswi kukaa kimya juu ya mambo haya yanayokera sana,pamoja na umasikini tulio nao hawapaswi kuwafanyia hivi watu wetu....
 
Moderator nimeandika mapema pale chini nikiomba usiamishie huku with special notes ikiwa ni kwa watanzania, uzi huu unawahusu wakenya sasa unapohamishia huku inakuwa haina maana hata wasomaji wake inakuwa based.
Labda miongoni mwao wapo wanaojiita waarabu weusi, ila ukweli hao ni mavi tupu.

July 2021 alinyewa mavi mdomoni Ke wa kinaijeria, hakika Uarabuni ni makao makuu ya maasi.
 
Eti mwingine uku Mombasa,Kenya msichana mwisilamu kajifunika kabisa,eti kaenda kutafuta pesa uko Saudi Arabia!!
Nakwambia Waarabu hawatambui muislamu mweusi 👌walimuua kwa kumtesa!!!Juzi familia yake waislamu bado,walimwomboleza! Na kusema Allah wakbar😅
 
Labda miongoni mwao wapo wanaojiita waarabu weusi, ila ukweli hao ni mavi tupu.
Itakuwa wapo, maana hawa jamaa kuna wkt wana roho ngumu sana unapowapa info.

Kwa upande mwingine wazanzibari wengi wanapenda kuitwa 'mwarabu', yaani kwao uafrika wanaona ni dhambi, fika mitaa ya uswahili huko Pemba au Unguja ndipo utajua.
 
Ngoja wavaa kobaz wa kiembenyasi waje
 
Na Sierra Leone
 
Sorry to say this, nimeona video Mswahili akim blow job mbwa hadi aka calm
 
Ile video ni ukatili..Hakuna dini/imani inayohamasiha ukatili wa kiwango hiki.
 
Saudi arabia wana roho mbaya sana

Dada zetu wanaofanya kazi za u house girl wanateseka sana
 

Attachments

  • 6121f0a67d461df35ca332790422a7ff.mp4
    8.4 MB
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…