SAUDI ARABIA UKIPOTEA JANGWANI UNAPATIKANA KIRAHISI 💡

Teknolojia ni Yetu sote

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2020
Posts
620
Reaction score
1,240
Saudi Arabia ukipotea Jangwani unapatikana kirahisi



Fikiria uko kwenye jangwa unatangatanga kwenye mchanga mkubwa huko Uarabuni , ukiwa umechoka, njaa Kali na kiu kubwa kisha ghafla Mwanga mkubwa Unauona kwenye upeo wa macho yako ukikuonyesha njia ya Uokovuu baada ya kuzurura sana Jangwani.



Saudi Arabia imeweka mfumo Rahisi wa kuwasaidia watu waliopotea kupitia Teknolojia hii ya kuweka leza kubwa zinazotumia nishati ya Jua ili kuwaelekeza wasafiri waliopotea wakiwa Jangwani kupata Maji kwenye maeneo hayo.



Miale hii hutoa nguvu kuelekea juu na kukufanya upate msaada unapopotea ukiwa Jangwani unaweza jihisi huko kwenye Movie zile za Sci-fi kumbe ni Uwalisia kwa kweli Teknolojia hii ni nzuri sana imeokoa watu wengi waliokuwa wamepotea wakiwa Jangwani Nchini Saudi Arabia
 
Hata kwenye bahari na maziwa yetu watu wanaweza kupotea huko katikati wasijue uelekeo sahihi ni upi. Hiyo miale itasaidia nasi tukiipata
 
Inakuaje mtu anapotea hapo jangwani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…