Saudi Arabia’s sovereign-wealth fund wapo kwenye mazungumzo ya kununua klabu ya mpira Uingereza, Newcastle United F.C. Kwa kiasi £340 million ($445 million).
Newcastle United inamilikiwa na mfanyabiashara bilionea, Mike Ashley ambaye alinunua mwaka 2007 kwa paundi milioni 134.