I Ibrashinto Senior Member Joined Jul 3, 2012 Posts 123 Reaction score 6 Aug 21, 2012 #1 Jaman waheshimiwa ni vizuri tufahamiane wote tunaoenda bukoba Saut ile tuanze kupunguza gharama za gesti pakufikia tuki lala wawili chumba kimoja sio mbaya waungwana apa sasa tutiririke....
Jaman waheshimiwa ni vizuri tufahamiane wote tunaoenda bukoba Saut ile tuanze kupunguza gharama za gesti pakufikia tuki lala wawili chumba kimoja sio mbaya waungwana apa sasa tutiririke....