Saut kulipa fines

Mdavire

Member
Joined
Jun 11, 2011
Posts
18
Reaction score
0
Wanafunza wa SAUT Mwanza wanaochelewa kulipa tution fees uongozi wa chuo unawatoza faini ya tsh 100,000 kwa kila semester.Total ya laki mbili kwa mwaka kwa wale wanachelewa semester zote mbili.Watoto wa wakulima hapa tunaumiza vichwa ada hatujamaliza hapo tena tunabambikiziwa faini juu! Masikini tunaumia uongozi waliangalie hili.
 
Cheza mbali na wa ROMA, wapo kibiashara zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…