Chuo gani hiki cha division 3 na 4
We jamaaa n mpiuuz kama unadhan hyo div 2 au 1 yako imekutoa kijijin ikakupeleka Mzumbe au Udom au Sua ukajiona maisha ndo umeyaweza subir umalze urud mtaaan ndo utaanza yatafuna matapishi yako,ukute mtu mwenyewe pepa umevujishiwa sasa ishakuwa nongwa.....wapo watu wamescore div Zero kama Mbowe na bdo n tajir mkubwa na mtu anaheshmka town hapa......
Mtake:jarbu kuwa na akil na busara kwenye vitu vya msing,muanzisha uzi anawatakia wenzake masomo mema we unaleta upuuz wako na sio mara ya kwanza na jina lako la kihanisi hilo mgipamsuli.
Chuo la ukweli,,baba la vyuo bongo,,hawana uzinguzi,,hata kidogo,,,
Chuo la ukweli,,baba la vyuo bongo,,hawana uzinguzi,,hata kidogo,,,
Ivi zile ela za field mwaka wa pili (kwenye field ya mwaka kwanza) washapewa?? Kama hawana uzinguzi kwa nini ela zao hawakupewa on time?? Kajipange..
Chuo gani hiki cha division 3 na 4
Mh hicho chuo nacho sijui kinatumiaga mtaara wa kembrigi! Kina kihere!!
Hahah SAUT baba la chuo bongo? labda ni baba la vyuo vya kata bongo
Pumbafu!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!