Chuo gani hiki cha division 3 na 4
Limtu lenyewe limesoma chuo cha zoom pale magomeni afu linajifanya kuongea hapa..toka zako na elimu yako ya kuunga unga..swine kabisa..muulize baba ako asingepata div 4 kama angepata mama ako...mama ako akampendea baba ako sababu ya hiyo division 4 yake maana ndio alikua msomi kijiji kizima..heshimu div 4 mwehu wewe ndio imesababisha uje duniani...swine blood fool
Kuna watu walitoka hapo SAUT,wako hapa fuata hii link https://www.ethz.ch/en.htmlChuo gani hiki cha division 3 na 4
Mkuu kama unataka tubishane tubishane wenyewe na sio wazazi! na hii inatokana na wewe kusoma kwenye chuo cha div3&4 uwezo wako mdogo wakujibu hoja na pia walimu wanaokufundisha hapo saut hawajakupika vizuri
Unakuta kozi kama sheria(LL,B) SAUT inachukua mpaka iii.17 jamani huu ni udhalilishaji wa taaluma makini ya sheria kwa sababu kozi ya sheria inahitaji watu wenye ufaulu mzuri ! mbaya zaidi unakuta chuo cha SAUT kozi ya sheria kinachukua mpaka waliopata F&S za kingereza hii ni hatari sana
Sasa povu la nini?
Nenda TCU kawaambie wakifute!!!!
Safi sana, pamoja na sifa uliyotoa, watu tuna kula bata huku duniani kupitia hapo SAUT.Angalia kuna link nimetoa hapo juu.Saut ;; loosers university
Saut ;; loosers university
Saut ;; loosers university
Saut ;; loosers university
Soma entry qualification zao kwanza ndo uje na ujinga wako
web:Saint Augustine University of Tanzania
Kwan watu kama nyinyi mnatumia kamasi kufikiria