SAUT na elimu magumashi.

SAUT na elimu magumashi.

Molembe

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2012
Posts
9,917
Reaction score
11,801
Hiki chuo kinatoa elimu ya kukariri na sio kumfanya mwanafunzi awe critical thinker haiwezakani mtu mmoja usome course 11 hadi 12 kwa semister moja kwani inamfanya hata mwanafunzi akose muda wa kwenda Library kusoma vitabu ili kuongeza uelewe isitoshe mtu unasoma mpaka jumamosi, naomba serikali iangalie hili suala kwani haimuandai mwanafunzi kwa kiwango kinachotakiwa.
 
we shinda kwenye mikutano ya chadema uone kama utaelewa kitu walioenda kusoma wanaelewa we unarshinda kutwa kushabikia ujinga wa bavichaa utaishia kunywa sup na disco
 
Acha uzembe mbna nimesoma apo KOMAA hujaenda kulala uko.
 
we shinda kwenye mikutano ya chadema uone kama utaelewa kitu walioenda kusoma wanaelewa we unarshinda kutwa kushabikia ujinga wa bavichaa utaishia kunywa sup na disco

Acha ushabiki wa kisiasa kwenye academics! Badala ya kumshauri apunguze walau muda wa kukesha jf, unaingiza siasa!
 
Binafsi nasoma programme mbili tofauti kwa wakati mmoja na namudu ni commitment tu
by the way kwa nini usidrop course kwa kuchukua unazoziweza na kuzimudu tuuu???
 
Hiki chuo kinatoa elimu ya kukariri na sio kumfanya mwanafunzi awe critical thinker haiwezakani mtu mmoja usome course 11 hadi 12 kwa semister moja kwani inamfanya hata mwanafunzi akose muda wa kwenda Library kusoma vitabu ili kuongeza uelewe isitoshe mtu unasoma mpaka jumamosi, naomba serikali iangalie hili suala kwani haimuandai mwanafunzi kwa kiwango kinachotakiwa.

Vyuo vyetu vya Tanzania ni full time college students. Kama we unasoma part time student ningekuelewa na hata kama kungekuwa na mfumo huo hapo chuoni nadhani wale wa part time students wangepunguziwa. Kwa hilo naona umezoea vyuo vya kivivu.

Mimi nilikuwa na mazoea ya 12 courses per semester kama fulltime student na nilifanikiwa kufanya vizuri papo nikawa nakibarua nje ya muda wa chuo. Wewe unaonekana mvivu, ndio maana wanavyuo wengi wamejaa mitandaoni kwenye facebook kusifiana uzuri badala ya kuingia mitandaoni kwa ajuli ya kugogle elimu.
 
Nmeona wanasoma kama secondary yani utakuta hajui hata kuandka reference coz haeana mud a Wa library na wana course nyingi lakn wako shallow!
 
Hilo tera,malza miaka mi3 hapo ukawasimulie na wadogo zako,kama waVIVU waSjoin S.A.U.T
 
Hiki chuo kinatoa elimu ya kukariri na sio kumfanya mwanafunzi awe critical thinker haiwezakani mtu mmoja usome course 11 hadi 12 kwa semister moja kwani inamfanya hata mwanafunzi akose muda wa kwenda Library kusoma vitabu ili kuongeza uelewe isitoshe mtu unasoma mpaka jumamosi, naomba serikali iangalie hili suala kwani haimuandai mwanafunzi kwa kiwango kinachotakiwa.
Hata ungewekewa coz 1 kama huna huna tu,nimemaliza hapohapo kwa jumla ya coz 14 kwa kila semester zikiwemo za option na nawazidi kiuelewa hao walosoma coz 2,3,4...Komaa kijana wa Kawambwa
 
Kwa hiyo kama wewe ulikula mavi na sisi lazima tuyale? Hao unao wazidi ni akina nani? Maana hata kwenye kundi la vichaa kuna kichaa zaidi sasa umejipima na nani na wa chuo gani ukamzidi? Kwa mtihani au ujuzi?
 
Hiki chuo kinatoa elimu ya kukariri na sio kumfanya mwanafunzi awe critical thinker haiwezakani mtu mmoja usome course 11 hadi 12 kwa semister moja kwani inamfanya hata mwanafunzi akose muda wa kwenda Library kusoma vitabu ili kuongeza uelewe isitoshe mtu unasoma mpaka jumamosi, naomba serikali iangalie hili suala kwani haimuandai mwanafunzi kwa kiwango kinachotakiwa.

"... what you learn today, for no reason at all, will help you discover all the wonderful secrets of tomorrow."
― Norton Juster
 
Safi sana,upewe kazi ili muda wa kwenda guest house na club ukose,hujaja kulala apo.
 
Kwa hiyo kama wewe ulikula mavi na sisi lazima tuyale? Hao unao wazidi ni akina nani? Maana hata kwenye kundi la vichaa kuna kichaa zaidi sasa umejipima na nani na wa chuo gani ukamzidi? Kwa mtihani au ujuzi?
We si mzima,hivi;
1.Hiki chuo kinatoa elimu ya kukariri na sio kumfanya mwanafunzi awe critical thinker...Kasome basi chuo chenye kumlazimisha mwanafunzi awe critical thinker -HOVYOOOOOO!!!!!
2...haiwezakani mtu mmoja usome course 11 hadi 12 kwa semister moja kwani inamfanya hata mwanafunzi akose muda wa kwenda Library kusoma vitabu ili kuongeza uelewe...Jifunze kumenage mda au hamia chuo kinachotoa course moja - OVYOOOOO!!!!!!!!!!

3. ...isitoshe mtu unasoma mpaka jumamosi...Tafuta chuo wanachoishia jumatatu tu -OVYOOOOO!!!!!!!!!!!
4. ...naomba serikali iangalie hili suala kwani haimuandai mwanafunzi kwa kiwango kinachotakiwa...Hama chuo -OVYOOOOO!!!!!!!!!

NB:Usipotuliza bichwa lako utakunywa SUPU nyingi sana dogo
 
Vyuo vyetu vya Tanzania ni full time college students. Kama we unasoma part time student ningekuelewa na hata kama kungekuwa na mfumo huo hapo chuoni nadhani wale wa part time students wangepunguziwa. Kwa hilo naona umezoea vyuo vya kivivu.

Mimi nilikuwa na mazoea ya 12 courses per semester kama fulltime student na nilifanikiwa kufanya vizuri papo nikawa nakibarua nje ya muda wa chuo. Wewe unaonekana mvivu, ndio maana wanavyuo wengi wamejaa mitandaoni kwenye facebook kusifiana uzuri badala ya kuingia mitandaoni kwa ajuli ya kugogle elimu.

Chukua like Mkuu; ila umesahau ukiongeza Whatsup, JF, Twitter, Tanga, Viber, BBM, Instagram na FB kozi zinakuwa 18. Hapa ndio kuna tatizo.
 
msuli wa kata huu, kungekuwa na paper la pamoja la vyuo sijui.! mngeshika mikia miaka yote.
 
Back
Top Bottom