Hiki chuo kinatoa elimu ya kukariri na sio kumfanya mwanafunzi awe critical thinker haiwezakani mtu mmoja usome course 11 hadi 12 kwa semister moja kwani inamfanya hata mwanafunzi akose muda wa kwenda Library kusoma vitabu ili kuongeza uelewe isitoshe mtu unasoma mpaka jumamosi, naomba serikali iangalie hili suala kwani haimuandai mwanafunzi kwa kiwango kinachotakiwa.
we shinda kwenye mikutano ya chadema uone kama utaelewa kitu walioenda kusoma wanaelewa we unarshinda kutwa kushabikia ujinga wa bavichaa utaishia kunywa sup na disco
Hiki chuo kinatoa elimu ya kukariri na sio kumfanya mwanafunzi awe critical thinker haiwezakani mtu mmoja usome course 11 hadi 12 kwa semister moja kwani inamfanya hata mwanafunzi akose muda wa kwenda Library kusoma vitabu ili kuongeza uelewe isitoshe mtu unasoma mpaka jumamosi, naomba serikali iangalie hili suala kwani haimuandai mwanafunzi kwa kiwango kinachotakiwa.
Hata ungewekewa coz 1 kama huna huna tu,nimemaliza hapohapo kwa jumla ya coz 14 kwa kila semester zikiwemo za option na nawazidi kiuelewa hao walosoma coz 2,3,4...Komaa kijana wa KawambwaHiki chuo kinatoa elimu ya kukariri na sio kumfanya mwanafunzi awe critical thinker haiwezakani mtu mmoja usome course 11 hadi 12 kwa semister moja kwani inamfanya hata mwanafunzi akose muda wa kwenda Library kusoma vitabu ili kuongeza uelewe isitoshe mtu unasoma mpaka jumamosi, naomba serikali iangalie hili suala kwani haimuandai mwanafunzi kwa kiwango kinachotakiwa.
Nmeona wanasoma kama secondary yani utakuta hajui hata kuandka reference coz haeana mud a Wa library na wana course nyingi lakn wako shallow!
Hata ungewekewa coz 1 kama huna huna tu,nimemaliza hapohapo kwa jumla ya coz 14 kwa kila semester zikiwemo za option na nawazidi kiuelewa hao walosoma coz 2,3,4...Komaa kijana wa Kawambwa
Hiki chuo kinatoa elimu ya kukariri na sio kumfanya mwanafunzi awe critical thinker haiwezakani mtu mmoja usome course 11 hadi 12 kwa semister moja kwani inamfanya hata mwanafunzi akose muda wa kwenda Library kusoma vitabu ili kuongeza uelewe isitoshe mtu unasoma mpaka jumamosi, naomba serikali iangalie hili suala kwani haimuandai mwanafunzi kwa kiwango kinachotakiwa.
We si mzima,hivi;Kwa hiyo kama wewe ulikula mavi na sisi lazima tuyale? Hao unao wazidi ni akina nani? Maana hata kwenye kundi la vichaa kuna kichaa zaidi sasa umejipima na nani na wa chuo gani ukamzidi? Kwa mtihani au ujuzi?
Vyuo vyetu vya Tanzania ni full time college students. Kama we unasoma part time student ningekuelewa na hata kama kungekuwa na mfumo huo hapo chuoni nadhani wale wa part time students wangepunguziwa. Kwa hilo naona umezoea vyuo vya kivivu.
Mimi nilikuwa na mazoea ya 12 courses per semester kama fulltime student na nilifanikiwa kufanya vizuri papo nikawa nakibarua nje ya muda wa chuo. Wewe unaonekana mvivu, ndio maana wanavyuo wengi wamejaa mitandaoni kwenye facebook kusifiana uzuri badala ya kuingia mitandaoni kwa ajuli ya kugogle elimu.