SAUT na Vyuo vingine, Shule za kanisa havina malengo ya kweli kumkomboa mtoto wa maskini wa TZ.

polen wana-saut hususan wenye kipato cha chini kwani yawezekana hiyo special examz ikawa ni KOMESHA TOTO ila msikate tamaa kazeni kama mlivyokaza ktk shule za kata na shule zingine.

Kama lengo ni kupata elimu ili watoto wa maskini tujikomboe,tutafanikiwa na tutashinda soon Or later.


  • :smile:
 
makofi kwako tafadhali kama huyo boya anasema Saut ada yake ni kubwa na TUMAINI wasemeje?? Mbulula wewe SAUT na UDSM wapi wana ada kubwa kenge wa madoa doa huyo

Sikuhurumii wewe bali mzazi wako anayejua anamtoto yupo chuo kikuu anapata elimu imkomboe alafu anapost ujinga,Shame.
 
vp kile chuo cha kata kilichopo morogoro, zamani chuo cha tanesco?


acha udini mkuu adui namba moja wa mtz ni shetani,ufisadi,ujinga,maradhi,n adui namba 1 wa mwislamu ni shetani na si mkristo na adui wa mkristo ni shetani na si mwislamu,je umeyashinda yote hayo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…