Saut Sol wawataka wakenya wajiangalie.

GRAMAA

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2014
Posts
1,241
Reaction score
3,800
Saut Sol wawataka wakenya wajiangalie kwa kuwaambia kwamba.

"Barua toka Jaramogi na Kenyatta,

Wanauliza kama Kenya kuko sawa,

Nikawajibu Kenya tuko na disaster,

Watoto wetu wanazidi kuzikana,

Na Tom Mboya ameshika tama,

Alituacha kama angali kijana,

Je angekuwa mambo yangekuwa sawa?

Ndivyo alivyopanga maulana,

Deni mlioacha bado hatujalipa,

Na tumekopa zingine China

Tukajenga reli pia barabara,

Zilizobaki watu wakasanya.

So tujiangalie

Tupo pabaya Leo kuliko Jana

Tusipo ziba ufa tutajenga kuta

Sikio la kufa halisikii dawa

Tupo kwa twitter tunajibizana.

HONGERENI SAUT SOL KWA WIMBO MZURI ULIOBEBA UJUMBE MZURI KWA WAKENYA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…