Saut

Joined
Oct 12, 2012
Posts
22
Reaction score
4
hawa jamaa kweli hawataki utani, A yao inaanzia 80, manaoenda pale kusoma mjue pale ni kama seminari maaskofu hawataki utani
 
Safi sana...
Wao wanachoma makanisa ss tunakuza elim yetu iwe bora...shame on them..
 
I like sn SAUT,grade ziko juu lakn pia ht ufundishaji wao ni mzuri na ada ni ya kawaida sn nilisoma pale na nilifaulu vzr,haya mengine sijui ya tabia mbaya ni ya kawaida kwenye mikusanyiko ya watu kwsbb watu wametoka sehemu mbalimbali na kila mtu ana malezi yake,ht hivyo hz dysfunction zina positive contribution ktk jamii,assume kama wote tungekuwa tunabehave on the same manner hali ingekuwaje! sociologically,tunaamini ht hz tabia za ovyo zina mchango mkubwa sn ktk jamii kwani zinaifanya jamii ichangamke. Kama nimekosea wanasosholojia wenzangu watanisaidia.
 

SAKULA; Chuku 5 kwanza mwana! hapo umesema ukweee ukweli mtupu

 
jamaa wana mpango wa kuwa na matawi kila mkoa. hivi MUM mbona hakuna hata kijitawi sehemu yoyote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…