Sauti kuzidi kufifia tatizo ni nini na tiba yake

Sauti kuzidi kufifia tatizo ni nini na tiba yake

MR KUO

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2016
Posts
2,678
Reaction score
3,818
Ndugu wanajukwaa. Naomba niende moja kwa moja kwenye jambo husika lililonileta kwenu.

Ni kwamba mwanzoni mwa mwaka Jana kuna ndugu yangu aliungua ugonjwa wa uti wa mgongo tukampeleka hosipitali akapona lakini akawa hasikii vizuri, tukapewa dawa za kutumia nyumbani, cha ajabu siku zinavyoenda hata uwezo wake wa kuongea unazidi kufifia sauti inatoka ikiwa haieleweki vema kama mwanzoni.
Sasa kama kuna dawa yoyote au njia ya kuweza kurudisha hali ya kawaida naomba kuijua ili nimsaidie huyu ndugu yangu maana inaonekana anaanza kuadhirika hata saikorojia kwa kujiona ana mapungufu mengi mpaka kujiamini mbele za watu kumepungua.

Shukran na nitashukuru.
 
Back
Top Bottom