Sauti kwenye PS zinawekwaje?

Sauti kwenye PS zinawekwaje?

Ziroseventytwo

JF-Expert Member
Joined
Mar 27, 2011
Posts
8,581
Reaction score
15,618
Sauti ya mtangazaji wa game PS zinawekwaje? Maana kile mchezaji anachokifanya ndio mtangazaji anatangaza.
Kwa mfano hapa nilipo kuna madogo wanacheza game ni kati ya ManCity na Barcelona. Yaani hizo sauti za mashabiki na jinsi mtangazaji anavyotangaza utafikiri ni kweli.
Kile mchezaji anachofanya ndio mtangazaji anatangaza. Sauti zinawekwaje?
 
Back
Top Bottom