moyo wangu
Member
- Nov 18, 2011
- 59
- 13
Waweza ni PM kama vipi.Hope wazma wa afya..Nimechaguliwa chuo cha sauti mwanza na TCU lakin kila nkifungua website yao sioni majina ya tulochaguliwa huko na tcu,nashindwa kuelewa na chuo wameandika kufungua tareh 14 mwezi wa 9..sijui inakuaje hapo..je napaswa kwenda mwanza kwa usajili wa chuo au inakuaje msaada plz na admision letter zao ni unazpata vipi?,.Mana naogopa nisije kwenda mpaka mwanza halaf ukaambiwa tcu hawajapeleka majina...msaada kwa unaojua zaidi
ni SAUT sio Sauti
mi Mwenyewe Nina Tatizo Kama Hilo...
Pakueni hii SELECTED APLICANTS na pakua JOINING INSTRUCTIONS
unataka yakina nani?? kama sio TCU
Nimeyatizama hayo majina yalikuepo kabla tcu hawajatoa selection zao ndo mana nkajb hvo
Kwani hilo ni tatizo?? mbona university of Arusha walitoa 1 week kabla ya TCU??
Okey let m ask who are there
Hao ni walio chaguliwa Certificate na Degree 2012/2013 Trust Me kuna jamaa nimemaliza nao wapo hapo